Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, March 7, 2013

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI ITALAZYA WILAYANI MBEYA VIJIJINI WAMO HATARINI KUKUMBWA NA MAGONJWA YA MLIPUKO KUTOKANA NA UKOSEFU WA VYOO

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI ITALAZYA WAKIWA DARASANI HUKU DAWATI MOJA WAKIWA WAMEKALIA WANAFUNZI WATANO
HIVI NDIVYO VYOO VYA SHULE YA MSINGI ITALAZYA WANAFUNZI WA SHULE HIYO AMBAO NI ZAIDI YA 700 WAMESHINDWA KUTUMIA VYOO HIVYO KWA KUOGOPA USALAMA WA VYOO HIVYO NI MDOGO KWANI HAVIJAJENGWA KWA UIMARA UNAOTAKIWA
HII NDIYO HALI HALISI YA VYOO HIVYO KWAKWELI NI HATARI KABISA VIPI WAHUSIKA MPOOO NA MNALIONA HILI?
HIVI NI VYOO VYA WAALIMU WA SHULE HIYO
WANAFUNZI SASA HUJISAIDIA KATIKA VICHAKA HIVI KWAKWELI HATARI SANA KUKUTANA NA NYOKA NA WADUDU WENYE SUMU KALI 



PICHA NA KAMANGA  MBEYA

1 comment:

Anonymous said...

kwa kweli inasikitisha sana, leo hii 2013 kuona wanafunzi wanasoma katika mazingira magumu kama hayo! maybe sometimes inabidi wazazi pia wawajibike katika kuboresha mazingira ya watoto wao baada ya kusubiri vyombo husika kutake action, kwa mfano kunaweza kuwa na harambee kwa wazazi na yeyeto mwenye kuweza kuchangia chochote ili kujenga japo choo kimoja tuu madhubuti kwa ajili ya watoto ni aibu kuona darasani kuna vumbi.Mimi nilisoma Makambako miaka ya themanini it was better than this! Sometimes u have to ask what u can do for ur country instead of what your country can do for you.