| Hii ndivyo ilivyokuwa katika uwanja wa sokoine Mbeya katika ziara ya kuutangaza mwonekano mpya wa gazeti la mwananchi |
| Hakika gazeti la mwananchi linasomwa na wengi |
| Mwonekano mpya |
| Baadhi ya wafanyakazi magazeti ya mwananchi toka DSM baada ya kupigwa na kabaridi ka Mbeya wakinunua makoti kujikinga na baridi |
| Mkurugenzi mtendaji wa MCL Tido Mhando akicheka kwa furaha kuona vijana wake wameshindwa kuhimili baridi la Mbeya |
| Joseph Mwaisango wa Mbeya yetu akiwakaribisha Mbeya Mkurugenizi wa MCL Tido Mhando na msambazaji mkuu Theo Makunga pamoja dada Brand Nelson wa Mbeya |
| Tido Mhando akicheza kiduku katika uwanja wa sokoine jijini Mbeya |
| Mkurugenzi mtendaji wa MCL Tido Mhando akiongea na wakazi wa Mbeya katika kutangaza mwonekano mpya wa gazeti la Mwananchi |
| Theo Makunga |
| Mhariri mkuu Bakari Machumu |
| Bob Ayubu |
| Msanii Snura |
| Add caption picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment