Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, May 14, 2013

AJALI MBAYA IMETOKEA MCHANA WA LEO WATATU WAFARIKI PAPO HAPO BAADA YA ROLI KUPINDUKA BARABARA YA CHUNYA MAENEO YA MWANSEKWA

JINAMIZI  LA AJALI LINAZIDI KUIKUMBA MBEYA WATU WATATU  WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA ROLI LA KAMPUNI YA KICHINA LILILOKUWA LIMEBEBA KIFUSI KUKATIKA BREKI NA KUPINDUKA MAENEO YA MWANSEKWA BARABARA YA CHUNYA MCHANA WA SAA 7 MPAKA SASA MAITI MBILI ZIMETAMBULIWA NA MOJA IMEHARIBIKA VIBAYA SANA KIASI CHA KUSHINDWA KUTAMBULIWA 
BAADHI YA WACHINA WANAOTENGENEZA BARABARA YA CHUNYA WAKIWASIKILIZA WANANCHI WALIOSHUHUDIA AJALI HIYO IKITOKEA
BAADHI YA MAJERUHI WAKISUBIRI KUPATA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA  MPAKA TUNA TOKA HOSPITALINI HAPO TUMEACHA MAJERUHI WATANO WAKIENDELEA KUPATA MATIBABU


Picha na Mbeya yetu

1 comment:

Unknown said...

Inasikitisha sana na pengine tuwatakie majeruhi wapone haraka, wafiwa wajazwe roho ya staha hasa ktk kipindi hiki kigumu. Marehemu tuwaombee na tuliobaki tupate funzo kupitia hizi ajali na kuongeza umakini kwenye vyombo hivi vya moto na tuwapo barabara.
Pole wakazi wa Mbeya kwa ajali zinazozidi kuwakumba!