Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, July 25, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA YAFANA MBEYA












Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro mwenye suti ya bluu ambaye pia ni mwenyekiti wa wakuu wa wilaya za mkoa Mbeya ndiye aliongoza maadhimisho hayo akimwakilisha mkuu wa mkoa Abbas Kandoro kulia kwake mkuu wa wilaya ya Mbeya Norman Sigalla 



Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro akiweka mkuki na ngao kuwakumbuka mashujaa waliokufa vitani



Mwakilishi wa mstahiki meya wa jiji la mbeya akiweka shada lake

Mzee Ernest Waya akiweka upinde na mshale kuwakumbuka wenzake aliokuanao vitani enzi hizo...

Chifu Lyoto alikuwepo kuweka mshda kuwakumbuka mashujaa

Viongozi mbali mbali wa dini waliwaombea duwa mashujaa wetu




Mzee Ernest Paulo Waya aliyepigana vita kuu ya pili vya Dunia alikuwepo kuwakumbuka wenzake 

Picha na Mbeya yetu

1 comment:

Haruna said...

Tunashukuru kwa kutuhabarisha kaka