Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, July 22, 2013

UZINDUZI WA MRADI WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NA WATOTO WAZINDULIWA MBEYA

Mgeni rasmi akipokea maandamano 

Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa Mbeya  akihutubia mamia ya wakazi wa mkoa wa Mbeya waliohudhhuria uzinduzi wa mradi wa kupinga ukatili wa kijinsia na watoto(GBV) utakaoendeshwa kwa majaribio kwa muda wa miezi 18 kwenye baadhi ya maeneo ya wilaya sita zilizopo mkoani Mbeya
Mkurugenzi wa shirika la Watel reed kanda ya nyanda za juu kusini Cmeron Garrette akielezea umuhimu wa mradi huo kwa wananchi waliojitokeza katika uzinduzi huo 
Meneja mradi  wotel reed Hijja Wazee akisoma risala mbele ya mgeni rasmi
Mwenyekiti wa dawati la Jinsia na Watoto la Polisi mkoa wa Mbeya Mary Gumbo akisoma ripoti ya utendaji wa dawati hilo ambapo alisema kutokana na uelewa kuongezeka jamii imezidi kujitokeza kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia
Mkurugenzi wa shirika la Watel reed kanda ya nyanda za juu kusini Cmeron Garrette akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Mbeya sehemu ya vifaa mbalimbali kwaajili ya wanawake wanaojifungua na watoto wachanga vyenye thamani ya shilingi milioni 300.
Burudani mbali mbali zilikuwepo katika uwanja wa Ruanda Nzovwe
Washindi wa mpira wa miguu timu ya Mwambene wakikabidhiwa kombe na mgeni rasmi baada ya kuishinda timu ya Nonde  katika uzinduzi huo
Mshindi wa kufukuza kuku akipewa mkono wa hongera na mgeni rami michezo mbali mbali ilikuwepo uwanjani hapo 


Picha na Mbeya yetu

No comments: